HALI YA MAJARIBIO (SIMULATION): hakuna pesa halisi inayokatwa. Malipo ni ya mfano tu.

Msaada

Tuko hapa kukusaidia kupakua, kufungua na kutumia bidhaa zako.

Wasiliana nasi

Tutumie email ukitaja namba ya risiti (RCT-...). Tunajibu ndani ya siku 2 za kazi.

Email ya msaada itaonekana hapa baada ya mmiliki kuisanidi. Kwa sasa tumia email iliyo kwenye risiti yako.

Bidhaa zangu

Usalama wa malipo

  • Hatutakuomba PIN yako kamwe - si kwa simu, SMS, WhatsApp wala kwenye tovuti.
  • Ombi la malipo linaonyesha kiasi halisi. Ukiona kiasi tofauti, usikubali.
  • Malipo yanathibitishwa na mtoa huduma wa malipo, si kwa picha ya skrini.

Maswali ya mara kwa mara

Nimelipa lakini sijaona kitufe cha kupakua.

Malipo yanathibitishwa na mtoa huduma wa malipo; mara nyingi ndani ya dakika 1. Kama ulifunga ukurasa, ingia 'Bidhaa zangu' kwa email uliyotumia.

Faili la Excel halifunguki kwenye simu.

Pakua app ya Microsoft Excel au Google Sheets. Kwanza toa (extract/unzip) faili kutoka kwenye ZIP kwa app ya 'Files'.

Nimepoteza link ya kupakua.

Ingia 'Bidhaa zangu' - utapata link mpya, au bonyeza 'Tuma link tena'.

Pesa imekatwa mara mbili.

Wasiliana nasi na namba ya risiti na kumbukumbu za muamala. Tutahakiki na mtoa huduma wa malipo na kurejesha malipo ya ziada.

Naweza kupata ankara ya kampuni?

Risiti yako inaonyesha namba ya risiti, bidhaa na kiasi. Kwa mahitaji maalum ya ankara wasiliana nasi.